Twitter | Search | |
Man Utd Tz
Ukurasa wa Mashabiki wa Manchester United Tanzania.
193
Tweets
32
Following
353
Followers
Tweets
Man Utd Tz Oct 24
Kikosi cha Man Utd vs Partizan: Romero, Wan-Bissaka, Maguire (c), Jones, Rojo, Williams, Garner, McTominay, Mata, Lingard, Martial.
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Oct 24
Replying to @SKachima @cfbayern
Hujampenda?
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Oct 24
Kuna taarifa kuwa Man Utd wanamnyemelea kumsajili mchezaji wa Bayern Thomas Muller kwenye dirisha dogo la January. []
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Oct 24
Partizan Belgrade vs Man United. Tupe utabiri wako
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Oct 24
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Mshambuliaji wetu . Tunakutakia siku njema
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Oct 20
Kila mtu anatazamia Liverpool kushinda na kuongoza ligi, ila sina uhakika sana. Nadhani Man Utd wana nafasi ya kuzuia hilo. - Mourinho [Sky]
Reply Retweet Like
Man Utd Tz retweeted
Andreas Pereira Oct 20
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Oct 20
Mechi ya leo unadhani itaishaje??
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Aug 19
Pogba anakosa penalty Wolves 1-1 United
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Aug 19
Goli Wolves 1-1 United
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Aug 19
46: Tumerudi kipindi cha pili . Wolves 0-1 United
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Aug 19
Goliiiiiii, Martial Wolves 0-1 United
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Aug 19
Mpira umeanza rasmi, Wolves 0-0 United
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Aug 19
Kikosi chetu dhidi yq Wolves leo De Gea, Wan-Bissaka, Lindelof, Maguire, Shaw, McTominay, Pogba, James, Lingard, Rashford, Martial.
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Aug 19
Usajili wa Alexis Sanchez kwenda Inter Milan utakamilika masaa kadhaa yajayo. Ataenda kwa mkopi na kipengele cha kununuliwa. [Fabrizio]
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Aug 19
Alexis Sanchez anaweza kutimkia Inter Milan kwa mkopo wa mwaka 1 na kipengele cha kumsajili kwa £12m.
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Aug 19
Umejiandaaje kwa mechi ya leo wewe kama mshabiki wa Man Utd.
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Aug 11
Mpira ni mapumziko United 1- 0 Chelsea
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Aug 11
Goli, Rashford 🔴1-0🔵
Reply Retweet Like
Man Utd Tz Aug 11
Replying to @heristarick
Hatariii
Reply Retweet Like