Twitter | Search | |
Ummy Mwalimu
Minister for Health, Community Devl., Gender, Elderly & Children, Tanzania 2015 - todate / Member of Parliament, Women Seats from Tanga region 2010 - 2020
1,762
Tweets
404
Following
45,595
Followers
Tweets
Ummy Mwalimu Nov 4
Hongera Mhe VP kwa kutuongoza vyema ktk jitihada za kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto 🇹🇿
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu retweeted
Faustine Ndugulile Nov 3
NHIF haina mkataba wa utoaji huduma na Hospital ya Aga Khan Arusha kwa sasa. Majadiliano yako hatua za mwisho cc
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu retweeted
Swahili Times Nov 2
Waziri asema hadi sasa hakuna mgonjwa yeyote aliyeripotiwa kuwa na ugonjwa wa marburg uliojitokeza katika nchi jirani ya Uganda.
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Nov 1
Karibu sana ! I look foward to working closely with you in enhancing access to reproductive health services in Tanzania. 🤝🤝
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Nov 1
Uzinduzi wa Maabara Hamishika 10. Sehemu ya jitihada zetu za kuhakikisha dawa zinazotumika nchini ni zenye ubora, salama na ufanisi 👍
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 31
Hii ni heshma na sifa kubwa kwa TZ. Sasa tunaongeza soko kwa wazalishaji wa ndani w dawa, pia bei ya dawa itapungua 👍
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 29
Saratani inazidi kutafuna watanzania. Tunachukua hatua ii huduma za ugunduzi wa mapema zipatikane kwa wananchi wengi
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 28
Happy birthday Rais wetu Mungu akupe maisha marefu ili wa-TZ waendelee kunufaika na uongozi/uzalendo wako
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu retweeted
Paul Sherlock Oct 25
Great to meet medical professionals w Mhe & this morning. I focused my remarks on maternal health.
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu retweeted
Norman Jonas Oct 23
Replying to @umwalimu
Kusambaza Tiba-Mgando (Cryotherapy) kwenye maeneo mengine ni hatua kubwa sana -Miaka kadhaa nyuma cryotherapy ilikuwa kama nadharia 👏🏾👏🏾👏🏾
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 23
Replying to @NormanBJonas
- Tumeanza chanjo ya HPV Kilimanjaro na imepokelewa vzr. Tumepeleka maombi ili kugharamia chanjo nchi nzima. Tunasubiria
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 23
! Na Tutaendelea kutenda.
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 23
Mwaka huu tumeongeza Vituo 100 kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi & Matibabu ya Awali ya Saratani ya Mlango wa Kizazi. !
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 23
3. Hatua hii itawezesha upatikanaji wa huduma hizi hasa Vijijini. Shime Wanawake Wenzangu Tupime! Saratani inatibika ikigunduliwa mapema!
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 23
2. Vituo vipya 100 vya umma kutoka vituo 343 sasa vitatoa huduma za uchunguzi & matibabu ya awali ya saratani ya Mlango wa Kizazi
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 23
1. Tatizo la Saratani linazidi kukua. Saratani ya mlango wa kizazi inaongoza (34%), ikifuatiwa na Saratani ya Ngozi (13%) na ya Matiti (12%)
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 22
Jitihada za Serikali za kuongeza Fedha za ndani ktk Mwitikio wa VVU/UKIMWI - Mfuko wa Ukimwi watoa milioni 860/-✅👍
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 22
Usahihi: Kati ya watanzania 1.4m wanaoishi na VVU, wanaotumia ARV ni 67%. Lengo letu ni kufikia 90% ifikap mwaka 2020
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 20
Karibu .Thanks to for the continued support & coopern in working with GoT in addressing health care challenges in TZ🤝
Reply Retweet Like
Ummy Mwalimu Oct 19
Noted. We have started working on it. Tutatoa mrejesho.
Reply Retweet Like