Twitter | Search | |
Fursa 101 Africa
A Shared value UBER style commodity, trading and logistic platform for farmers and local producers
484
Tweets
291
Following
167
Followers
Tweets
Fursa 101 Africa Jun 23
Mie nimesikiliza hapa :
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa May 31
Replying to @ItsKamala @IsayaYunge
Kama alivyosema Ninaweza nikafa masikini lakini siyo mtoto wangu. In short term unaweza usione matokeo lakini in long run sintabaki kama nilivyo. Sitaki kufa na kuacha omba omba duniani. Nataka nife na kuacha viongozi na waajiri wa makampuni niliyoanzisha.
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa May 31
Replying to @ItsKamala
Unadhani kesho ya watoto wetu wa sasa itakuaje? Unahangaika kulipia mamilioni ya pesa kulipia ada lakini siku inafika mtoto wako ana Elimu nzuri anaishia kuendesha boda boda. Wapo vijana wengi wanaendesha boda boda na digrii zao. Sasa umefanya nini?
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa May 31
Replying to @ItsKamala
Kama hivi sasa kupata ajira ni kazi sana na hakuna ajira, unadhani watoto wanaozaliwa leo ikifika kesho watakuwa wageni wa nani? Watapata wapi ajira? Nani atawajengea ajira kama siyo sisi founders?Wapo watu wamesoma vizuri kabisa lakini hawana pa kwenda.
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa May 31
Replying to @ItsKamala
Wengine wanaweza wasituelewe lakini nakuambia kabisa watoto wanaozaliwa sasa hata uwasomeshe vipi kama hutawaandalia kampuni au biashara wanazoweza kuja kuiendeleza pale ulipoishia na kuisimamia kama ajira zao kuna shida mbeleni.
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa May 31
Replying to @ItsKamala
Tunahangaika sana. Tunapoteza mengi na kuchekwa na watu kama wewe kwasababu tuna ndoto kubwa. Ukiniuliza hata leo, ni kitu gani kinachotufanya tuendelee kupigana hata pale tunapojisikia kukata tamaa ni hawa watoto. Ukiwaza kuhusu future ya watoto unapata nguvu zaidi.
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa retweeted
kamala Dickson May 30
Zamani niliona fahari ukipita sehemu mtu anaitwa Boss,Mkrugenzi,Meneja nilitamani hata mie niitwe hivyo siku moja lakini nikaangukia founder nikatengeneza busness card kabisa baada ya siku nikagundua Vyeo bila hela ni uzwazwa nikajiondoa Usiku mwema Founders na exctive director
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa retweeted
Mynzagric254 May 24
Dear Farmers, No matter the number of challenges you may encounter, keep doing what you love. One day, it will pay off and the rest will be HISTORY.
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa May 7
Replying to @akawire @kigogo2014
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa Apr 28
lockdown is not an option for now at all...
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa Apr 28
There is no safe either way, what we need at the moment is to think how to move forward. How to embrace the new normal.... If you ask me, who need to pay for this mess. CHINA is responsible. CHINA is the enemy of the world. CHINA knew this thing before
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa Apr 28
For how long should they stay at home? A year?
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa Apr 27
Do you know how many people will commit suicide if this lockdown continues? How many lives will be ruined. It is easy to see in face value but when you dive deep...you may be shocked to find the danger of the lockdown is far worse than covid 19
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa Apr 27
Lockdown will not help my friend, we dont know for sure when this Covid 19 will leave us alone.
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa retweeted
lolitataub Apr 17
📢 Active early-stage investors: Share your deets for founders to pitch you. Stage: Thesis: Criteria: Check-size: Contact:
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa Apr 17
Replying to @kigogo2014
Kweli kabisa toa elimu , Kwani sioni kama una msaada wowote kwa haya unayoyasambaza, yanasaidia vipi watanzania?
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa Apr 2
Replying to @kigogo2014
Kazi yako ni kuongea ongea wakati wewe mwenyewe hakuna cha maana ulichofanya kupitia watu wanaokuzunguka, wewe ni janga la taifa.Kwahiyo wewe lengo lako ni kuhakikisha amefeli ili upate cha kuongea ama?Na huo ni uzalendo? Kuongea ongea tu bila matokeo ni upuuzi
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa retweeted
Vala Afshar Mar 12
We must appreciate the precision of manual labor that is required to build
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa retweeted
Benjamin Fernandes 🇹🇿 Feb 21
Leaving, to find your way home.
Reply Retweet Like
Fursa 101 Africa retweeted
Vala Afshar Jan 11
In 1995, only two years after the birth of the worldwide web, tried to explain ‘The Internet’ to Letterman Technology pioneers today face the same difficulty and ridicule as they describe artificial intelligence, 5G and blockchain
Reply Retweet Like