Twitter | Search | |
Shaffih Dauda
Head of Programs at | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my own
11,642
Tweets
687
Following
65,561
Followers
Tweets
Shaffih Dauda 13h
Aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba na mabingwa watetezi ligi kuu Kenya Gor Mahia, Dylan Kerr ameandika barua ya kuachana na klabu hiyo ya Gor Mahia. Kocha huyo alitarajiwa kurudi nchini mapema kwa ajili ya mechi za maandalizi lakini akawaandikia barua kuwa amepata timu nyingine.
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda 18h
Replying to @MahmudKullane
Nipe Top 5 yako nione.
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda 20h
Wayne Rooney ndiye mchezaji bora wa Kiingereza tokea kizazi cha 1990 mpaka 2018. Ndiye mchezaji bora wa EPL tokea 2000 mpaka sasa. Unakubaliana na mimi?
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 15
Kuna cha kuongezea hapo?
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 15
tshabalala goal in world cup 2010
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 15
Replying to @Madeeseneda
Hiyo jezi ipo siku itaongea
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 15
Kama kweli huna tatizo la macho tuambie huyu ni Jason au Zidane
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 14
Burundi 0-0 Tanzania D25
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 14
Replying to @hajimnoga
Hellow Mnoga, can you plz contact me, 0763370020, am a football journalist from Tanzania
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 14
Nilishtuka sana kusikia Manji amerudi. Nilikuwa nakula nikashindwa hata kuendelea kula. Nimefurahi sana. Kama mkubwa amerudi basi Ubingwa ni halali yetu" Mwinyi Zahera
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 14
Slavisa Jokanovic amefutwa kazi kama kocha mkuu wa Fulham. Nafasi ya Jokanovic, imechukuliwa na kocha wa zamani wa klabu ya Leicester City, Claudio Ranieri. 2000 Ranieri alimsajili Jokanovic alipoteuliwa kuwa kocha wa Chelsea. Fulham nao wanatarajia maajabu 🏆 2019/20 😂
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 14
IMEVUJA: Neymar anavyokula maisha: Mkataba wake na PSG una posho zifuatavyo: 💰Bonasi ya €2.5 endapo tu hatobishana na uamuzi wa mwalimu. 💰Bonasi ya €375k kwa ajili ya kusalimia mashabiki tu kabla na baada ya mechi 💰Bonasi ya €2M kama ataingia 3 bora ya Ballon d'Or.
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 14
Kwa mujibu wa huyu kijana ana miaka 16 na ni mzaliwa wa Ghana. Inasemekana vilabu vikubwa vya mpira wa kikapu Serbia vinamfukuzia.
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 14
Zahera amesema anashusha kifaa kutoka Ghana. Vipi kwani Makambo kazi imemshinda au maboresho tu ya kikosi?
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 14
Atletico inapokea posho kutoka kwa Man City tokea 2011 kutokana na vipengele vya mkataba wao wa awali. : 💰€250 kila baada ya Magoli 15 💰€250 kila baada ya mechi 25 💰€1M Man City wakibeba EPL 💰€500k wakifika nusu fainali ya UEFA 💰€1M wakifika fainali ya UEFA
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 13
PSG is the super power?
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 13
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 13
I think Wayne Rooney should be 's 2018 Landon Donovan MVP Award winner. Watch Matchday Central for the results:
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 13
Kikosi bora cha mwaka cha ligi kuu Marekani Kipa: Steffen Beki: Martial Beki: Long Beki: Lawrence Kiungo: Acosta Kiungo: Paitti Kiungo: Vela Kiungo: Almiron Fowadi: Ibrahimovic Fowadi: Rooney Fowadi: Martinez
Reply Retweet Like
Shaffih Dauda Nov 13
Victor Lindelof baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Sweden
Reply Retweet Like