Twitter | Search | |
Mtanzania Digital
Official account of Mtanzania Newspaper. | Top News | Tips | 24Hrs | | Subscribe to our YouTube Channel 👉
25,654
Tweets
650
Following
46,504
Followers
Tweets
Mtanzania Digital 6m
SUDAN: Waandamanaji wamesema kuwa hawatambui utawala wa kijeshi uliyochukua uongozi wa nchi hiyo baada ya kumpindua kiongozi wa muda mrefu, Omar al-Bashir. Wanadai kuwa baraza la kijeshi lililobuniwa baada ya Bashir kutimuliwa ni mwendelezo wa utawala wa wake.
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 13m
UGANDA: Mbunge wa Kyadondo Mashariki Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) amekamatwa baada ya yeye na wafuasi wake kugombana na maafisa wa polisi kufuatia hatua ya mamlaka kufutilia mbali tamasha lake la muziki la siku kuu ya pasaka.
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 19m
Sri Lanka ilisema mapema leo kwamba inahisi kundi la itikadi kali la National Thowheeth Jama'ath limehusika na mashambulizi hayo na kuahidi kuomba usaidizi wa kimataifa.
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 22m
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mashambulizi ya mabomu nchi Sri Lanka imeongezeka hadi kufika watu 300. Polisi ya kimataifa Interpol imepeleka timu ya wachunguzi ambao ni wataalamu wa kuwatambua wahanga wa majanga hayo,lengo likiwa ni kusaidia mamlaka nchini humo
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 1h
Klopp ampigia debe Van Dijk uchezaji bora
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 2h
Tiger Woods ni wakati sahihi wa kustaafu Gofu
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 3h
Serengeti Boys hii na ile tunaendaje Brazil?
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 4h
Mchekeshaji ategemewa kuwa rais Ukraine
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 5h
Viongozi wa dini watajwa mapambano dhidi ya TB
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 5h
Nchi tisa kushiriki uchunguzi usalama wa Boeing 737 MAX
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 6h
Awamu mpya ya mapigano yaanza Tripoli
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 7h
‘Kisukari, shinikizo la damu chanzo cha kuugua macho’
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 8h
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 8h
Wafugaji waaswa kubadilika fikra, kufuta sheria
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 8h
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital 8h
IBADA YA PASAKA: Maaskofu watuma ujumbe wa amani
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital Apr 21
Sri Lanka: Watu saba tayari wameshakamatwa mpaka sasa. Serikali pia imetangaza kudhibiti matumizi ya mitandao yote ya kijamii kwa muda. Rais Maithripala Sirisena atoa tarifa ya kuwaomba wananchi kuwa watulivu na kuwasaidia maafisa wake katika uchunguzi.
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital Apr 21
CHAD: Upinzani nchini Chad umeitisha maandamano ili kuuondoa madarakani utawala wa miaka 29 wa Rais Idriss Déby.
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital Apr 21
Watu 207 wameuawa na wengine 450 kujeruhiwa katika mashambulio ya mabomu dhidi ya makanisa na hoteli nchini Sri Lanka. Milipuko minane yaripotiwa katika mashambulio dhidi ya makanisa matatu mjini Kochchikade, Negombo na Batticaloa, yashambuliwa wakati wa ibada ya Pasaka
Reply Retweet Like
Mtanzania Digital Apr 21
Brela yatahadharisha wanasheria kudanganya wafanyabiashara
Reply Retweet Like