Jokate Mwegelo Sep 12
Nisaidie kukumbuka Baba kwamba umenichora kiganjani mwako katika wengi waliopo duniani eh namimi umeniona 🙏🏽 Ya kwamba kama ungeniacha hatua moja nisingelifika nilipo Eh Baba umenikung’uta mavumbi na kuniheshimisha 🙏🏽