Twitter | Search | |
Jokate Mwegelo
Creative Enthusiast | Visionary | Leader | Mtumishi Wa Watu | District Commissioner Kisarawe - United Republic of Tanzania President’s Office. U30
41,422
Tweets
1,245
Following
587,175
Followers
Tweets
Jokate Mwegelo retweeted
Gabriel Mwang'onda🇹🇿 Sep 15
Makete... Hali ya baridi na barafu imezidi kuwa tete Makete, mazao yamenyaushwa na baridi kali. They need alternative crops that endures extreme cold.
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 14
Nzuri inaonekana mlete
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 14
Replying to @ugumbajr
Tuna mipango mingi ikiwemo hilo.
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo retweeted
Fredy  Njeje Sep 12
Nimeona Muonekano mpya wa Gazeti la Uhuru Najiuliza tu hivi ndivyo litakuwa kila siku? Maana si mchezo kuanzia karatasi mpaka quality yake sio ya Mchezo,pongezi kwenu linauzwa tsh 1000 tuu.. Kakamate copy yako pia
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo retweeted
Emmanuel Tayari Sep 13
Interesting to note that; the lift of embargo concides with Barrick Gold completion of Acacia mining takeover. Coincidence or design?
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo retweeted
Emmanuel Tayari Sep 13
- Sugar production increases by 16% in 2018/19
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo retweeted
Mohammed Dewji MO Sep 13
Environmentalists that resisted Tanzania government vision of establishing a hydro-electricity power project at Stiegler’s Gorge have been proved wrong. The United Nations Environmental Program has formally endorsed the 2,115 megawatt project.
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 13
Replying to @chugaboy18
Karibu
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 13
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 12
Replying to @MabalaMakengeza
Asante sana. Tunashukuru 🙏🏽
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 12
Replying to @tononda
Ni kweli kabisa
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 12
Replying to @GeorgeJustas
Wanafunzi wote ...
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 12
Replying to @YusuphMbilinyi8
Karibu sana
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 12
Picha ya pamoja na Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Kisarawe nikiwakabidhi vyakula vya wanafunzi kwenye kambi za kujiandaa na mtihani wa kidato cha nne. Hamasa imekuwa kubwa sana kwa walimu wetu inatia moyo sana. Ushirikiano wetu na maelewano ndio chanzo cha mafanikio yetu.
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 12
Malika 🔥🔥🔥🔥🔥
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 12
Look who came to visit us in Kisarawe? Kisarawe si ya mchezo mchezo 😃 Auntie naye kafika shukrani sana undugu ndio huu ❤️ Cc
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo retweeted
RebecaGyumi Sep 11
Inahuzunisha kusoma kifo cha msichana nchini Kenya sababu ya “period shaming”.Kupata hedhi ni suala la kusherehekewa na sio kuonewa aibu au kudhihakiwa. Tuvunje hii “taboo” ya kuweka usiri/uchafu kwenye kupata hedhi. BILA HEDHI HAKUNA MAISHA
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 12
Nisaidie kukumbuka Baba kwamba umenichora kiganjani mwako katika wengi waliopo duniani eh namimi umeniona 🙏🏽 Ya kwamba kama ungeniacha hatua moja nisingelifika nilipo Eh Baba umenikung’uta mavumbi na kuniheshimisha 🙏🏽
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo retweeted
Ashura khamis Sep 11
WCW........ The pics has a story to tell
Reply Retweet Like
Jokate Mwegelo Sep 11
Lovely thank you for sharing ❤️
Reply Retweet Like