Twitter | Search | |
Search Refresh
Riba Na Rieng Oct 10
Sheng word of the day ni ya viongos na wajanjez
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 12
Eliud kipchoge ni champeeee. Amebreak record ya kupiga marathon under 2 hours akiclock in 1.59.40 min.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 14
Sheng word of the day inalandi na ubaya bila kubahatisha.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 12
Jeshii ya inajoin wadau wote kupiga sherehe na kucongratulate the GOAT na ametushow no human is limited.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng 16h
Chocha kwa vijana wera kwa wazae...Riba Na Rieng 15/10/2019 Usingoje kupewa story click link upate yote.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 14
Drama series za Nairobi county...Riba Na Rieng 14/10/2019 Click asapa kwa link upate uhondo yote..
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng 17h
Mabuda wengi ndio humanyuria kwa ma accident mtaani. Ripoti ya NTSA inashow 83% ya maguyz ndio humanyuria compared na 16% ya mawomande. Hii ripoti ime adisia mapedestrians ndio victims humanyuria zaidi kwa izi ma accident.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 13
Pande ya siaka hii wikendi kwa wa Kenya ni parte after parte. Brigid Kosgei ameset World record ndechu kwa Chicago Marathon after kuwai 2.14.04 siaka ya mayenx. Kwa race ya maguyz Lawrence Cherono ndiye champe akishow vumbi viongos kaa Mo Farah.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 11
Iron bird jamo ya kampu ya Silverstone ilicrash ngware ikitake off Wilson airport kusonga Mombao.Silvertone wametoa statement wakiconfirm hii noma wakiadisia kila msee alikuwa on board ako fiti na wameanza kuchapa usoro wajue noma ilikuwa wapi.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 11
Ndai kuwa recovered...Riba Na Rieng 11/10/2019 click on the link upate uhondo.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 13
Mtiech ya Mbere raiyaa inazusha form ya manjege kuwaona war. MP wa Mbere North,Muriuki Njagagua anadai manjege wananyuka raiyaa mtaani na kwa mabaesa juu ya kudinda kuwashikia ndogogio. Anadai watu 4 wako hosi na injury na lazima hawa masanse wadandiwe
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 14
Gava saa imelia mamode na masanse hawapati kaleave hadi KCSE na KCPE imadwe. CS wa interior Fred Matiang'i amedai hizi ma exam wako rieng na hawabahatishi. Ameadisia watakuwa wanapiga malap mtaani kukemba venye rada ya hizi ma exam inasonga.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng 16h
Masanse wamedandia kilo 139 za koro mtiech ya Nanyuki zikiwa kwa lorry. Hizi koro ni worth mita 2.8 na jeshi ya mtu tatu ilidandiwa ikiwa inazi transport Inadaiwa masanse wali take 3 hours kupiga soro kwa hii lorry juu ya venye zilikuwa zimesundwa.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 9
You want another rap!...Riba Na Rieng 9/10/2019 click link asapa upate uhondo
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 10
Mguyz mjamo toka Emba kake kalinuka hadi ikabidi atoboke kavu 8 kuhepa kupigwa mating ting. Boni alichajiwa kotiko ya Makadara na noma ya kuvunja glass za ndogogio kwa baesa na kutishia jeshi maisha. Akijitetea alidai atalipa hizo glass kusafisha lawama.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 9
Sheng word imelandi na ubaya na sikubahatisha
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 7
TSC wamedai rieng ya waks itajipa by November. Mbiggy wa TSC, Nancy Macharia amedai  watawai ma interns 10k wera. Mode Intern wa ryma watasonga na kavu kinde na wa seco wakikafunga na kavu fifteen.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 14
Familia ya Riba Na Rieng inajoin the rest of the country kupiga sherehe ya tukicelebrate sacrifices wanapiga kuguard nchi.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 11
Replying to @kbarakak
Mbexe means two.
Reply Retweet Like
Riba Na Rieng Oct 11
Sarah Wairimu mwenye alikuwa muwife wa deler Tob Cohen amedondolewa zangaro na bond ya mita 4. Cohen aligo missing July 19th na body yake ikapatikana 13th Sept kwa septic kejani kwake. Huu mthama alipiga siku 44 zabe alongside masuspects wengine mbexe.
Reply Retweet Like