Twitter | Search | |
Search Refresh
Adam Jan 9
AMMDes Kutatua shida ya usafiri vijijini Serikali kupitia Wizara huko Indonesia waliwekeza kwenye programu ya kuwezesha uzalishaji gari rahisi Matokeo? Gari nyingi zimetengenezwa mpaka Dangote kanunua 10,000 huko Nyumbu Kibaha kuna somo hapa
Reply Retweet Like
Adam Jan 11
Mt Marangu route aka Coca Cola route 6 days to the top! Photo: Snow Africa Adventures
Reply Retweet Like
Adam Jan 10
Ujenzi kwenye eneo dogo Ukipata fundi mweledi tangu mwanzo unapata thamani ya fedha zako (value for money) Picha: apartments mbalimbali za Afrika Mashariki
Reply Retweet Like
Lumuli B Gama Jan 8
Replying to @Adambrv @pukka27
blessed mkuu
Reply Retweet Like
Adam Jan 11
Hotel Verde | Sababu kubwa ya kuongezeka ufanisi wa sekta ya utalii visiwani ni kuwekeza kwenye mahoteli na miundombinu ya utalii Sasahivi inaongoza Afrika Mashariki kwa % ya malazi mapya ya kitalii
Reply Retweet Like
Adam Jan 11
Kilwa Kisiwani Eneo la Urithi wa Dunia tangu 1981 Pwani ya Kusini Mashariki, Tanzania Weka kwenye listi ya sehemu za kutembelea mwaka 2020 World Heritage Site South eastern coast of Rich heritage, interesting history
Reply Retweet Like
Adam Jan 10
Skuli ya Pangawe Shule ya kisasa ya umma ya mfano visiwani. Ina miundombinu yote ya kisasa mpaka CCTV cameras kwa ajili ya usalama Kutokana na ufinyu wa nafasi Zanzibar wanataka shule/skuli zao zote kuwa za ghorofa
Reply Retweet Like
Adam Jan 11
Cool boats | Zanzibar Kama hujapanda viboti vya Zanzibar kwenda Prison Island basi bado hujaienjoi Unguja! Africa's coolest boat rides. Zanzibar to Prison Island!
Reply Retweet Like
Adam Jan 11
Fanicha za mianzi Bamboo furniture Very cool
Reply Retweet Like
Adam Jan 11
Mianzi | Bamboo Fensi Milango Cool
Reply Retweet Like
James Mmari Nov 16
Street parks, gardens, sports & community areas (Viwanja wazi/huru vya Michezo na burudani mitaani/kwa watoto, vijana, hata kwa wazee) Hivi ni kweli tumeamua kuvipoteza kabisa, mpaka kwa kulipia...?😉. Simple benchi, mapira, bembea, mbona inatosha. changizo kwa .
Reply Retweet Like
Adam Jan 11
2019 Uchumi wa Jumuiya ya ECOWAS ($669bil) ni sawa na mara 3 ya ule wa EAC ($210bil) EAC ina nchi 3 Kenya, Ethiopia (bado uanachama) & Tanzania kweye Top 10 ya Uchumi mkubwa Afrika; kama Afrika Kaskazini - Misri, Morocco & Algeria Wiki
Reply Retweet Like
Adam Jan 10
Wajua? India ina uchumi mkubwa (Us$ Trilioni 2.7) kuliko Russia (Trilioni 1.7) Uchumi wa China (Trilioni 13.6) ni kama nusu ya wa Marekani (Trilion 20) Uchumi wa Iran na UAE ni sawa (Trilioni 0.4). Na wote wanaizidi Israel kwa Bil 100
Reply Retweet Like
Adam Jan 11
Nje ya Nyumba Finishing na landscaping ya nyumba ni muhimu kama finishing na decor/urembo ndani This is super cool! Picha: Wijema Real Estate, Uganda
Reply Retweet Like