Twitter | Search | |
Search Refresh
MTZ Oficial Jun 13
Reply Retweet Like
TheExtraIncome Jun 12
is returning 4.13% since we detected a breakout. Join our chat and ask more
Reply Retweet Like
BelTA Jun 11
Reply Retweet Like
Friday Beer Downers Jun 11
📆 14 June ‘19 ⏰ 2pm till 4am 📍EST 1912 💰 Free Entrance MC 🎤 On the Decks 🎧 @sandileshaun101 👨🏿‍🎨 by
Reply Retweet Like
Muakilishi TZ 8h
Kanisa Katoliki limekuja na wazo la kuwaruhusu wanaume waliooa kuwa makasisi hasa katika maeneo yanayozunguka mto Amazon, katika bara la Amerika Kusini. Maeneo hayo yapo katikati ya msitu mnene, yana uhaba mkubwa wa makasisi, na yana wafuasi wengi wa Ukatoliki.
Reply Retweet Like
Gallomimus ☨ 9h
Reply Retweet Like
Juanchuu😈💔 Jun 17
Mami tú eres una obra de arte
Reply Retweet Like
Gallomimus ☨ Jun 16
97 jours que tu n'es plus là... Dites nous , vous n'avez pas fait une connerie avec notre Graoully à tout hasard ? 🙄🐲😑 en
Reply Retweet Like
MennaTullah Zakariya(MTZ) Jun 16
إني اتكأ على ما تبقى مني ... أحاول النهوض من جديد ولا أستطيع أن اعتمد على غيري فوحدي من يفهمني و وحدي من يشعر بي و وحدي من يسمع صراخي ويريد لي النجاة والآن لا أريد غيري ليكمل معي... ✍️
Reply Retweet Like
Israaaa Jun 16
Reply Retweet Like
MANUEL TURIZO CHILE 🇨🇱 Jun 15
JAJAJAJAJA , Buen día Familia☺ ¿ Cuenten nos a cuánt@s les paso esto con la historia de mturizomusic hace unos días? JAJAJAJ😂 ya los queremos devuelta por Chile🇨🇱.
Reply Retweet Like
Muakilishi TZ Jun 15
“Kupita bajeti iliyosomwa hivi karibuni Bungeni, Serikali imeweza kuondoa tozo zaidi ya 51, lengo ikiwa ni kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji Tanzania.”- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Kongamano la 4 la taifa la kuwawezesha wananchi kiuchumi linalofanyika Jijini Dodoma
Reply Retweet Like
Muakilishi TZ Jun 14
Tume ya Kurekebisha Sheria imependekeza kutungwa kwa sheria moja itakayosimamia masuala ya ufilisi nchini Pendekezo hilo limekuja baada ya kubaini zipo sheria za ufilisi ambazo zimepitwa na wakati na baadhi zinatoa adhabu za ufilisi kama vile Sh.200 au Sh.1,000
Reply Retweet Like
Muakilishi TZ Jun 14
Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurungezi wa Simba, , amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa DRC, Felix Tshisekedi, mapema leo jijini Dar es Salaam. Mo ameahidi kuyafanyia kazi majadiliano yao juu ya fursa za uwekezaji wa Tanzania nchini DRC.
Reply Retweet Like
Miguel Rockrocker Jun 13
Reply Retweet Like
Baldo Guerra ✍️🎙️🎧 Jun 11
Reply Retweet Like
Baldo Guerra ✍️🎙️🎧 Jun 11
Reply Retweet Like
Muakilishi TZ Jun 11
Jarida la Limetoa Orodha ya Wanamichezo 100 wanao Ongoza kwa Kupokea Kipato kikubwa Duniani. 1. Leonel Messi(Soccer) analipwa Dolla $127m, 2. Cristiano Ronaldo(Soccer): analipwa Dolla $109m, 3. Neymar Jr(Soccer) $105m 4. Canelo Alvares(Boxing).$92m,
Reply Retweet Like
Muakilishi TZ Jun 11
Kiongozi mkuu wa Mb amesema kuwa mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi Visiwani Zanzibar yameipa ZEC mamlaka makubwa ya kuvuruga uchaguzi na kuruhusu wanajeshi na watu wa usalama kupiga kura kabla ya siku ya uchaguzi jambo ambalo linaweza kutumika vibaya
Reply Retweet Like
Gallomimus ☨ Jun 9
90 jours que nous sommes orphelins de toi... connard 😑🐲 en
Reply Retweet Like