Twitter | Search | |
GTBankTanzania
We are a Team, Driven to deliver the Utmost in Customer Service.
307
Tweets
21
Following
107
Followers
Tweets
GTBankTanzania Oct 13
Tunakutakia Heri ya siku ya kumbukumbu ya Mwl. Julius Kambarage Nyerere. .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Oct 8
We deeply appreciate you as our customer. Speak to our Managing Director, next Friday from 10am to 12pm (noon). Call at no charge: 0800110333. Bring your laughs, questions, and any suggestions/ideas that will help GTBank Tanzania serve you better. .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 29
Manufaa. 1. Tumia katika ATM yoyote yenye nembo ya MasterCard bila makato ya ziada, 2. Hamna makato kwa malipo ndani ya nchi, 3. Utapokea SMS na Barua Pepe bure kila unapotumia ama kuweka pesa. Unangoja nini? . .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 28
Kuwa macho! Tutembelee ufungue akaunti na upate kadi yako siku hiyohiyo. Unangoja nini? . .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 28
Utatozwa gharama ya unachoilipia tu. Tutembelee ufungue akaunti na upate kadi yako siku hiyohiyo. Unangoja nini? . .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 24
Tesa Uwezavyo na GTBank! Huhitaji kuhamisha-hamisha pesa, lipia kupitia akaunti yako kiganjani. Piga *150*97# ama pakua app ya GTWorld Tanzania kwenye simu yako kufurahia urahisi huu na mengine mengi. . .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 19
Tumia kadi yetu kwenye ATM yoyote yenye nembo ya MasterCard na hutochajiwa tofauti na ATM za GTBank. (mara nyingi bei ni nafuu kuliko). Piga sasa +255222772533 kupata kadi yako siku hiyo hiyo unapofungua akaunti. .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 18
Mood! Bibi utampa alama ngapi hapo? 📽️ . .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 16
Miamala yako yote iko salama, lipia huduma na bidhaa mtandaoni kwa haraka na urahisi. Wasiliana na benki yako kwa taarifa zaidi. TBA pamoja na wewe! .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 15
Nunua mahitaji yako na ulipe kijanja zaidi bila makato ya ziada. Ni rahisi, salama na haraka. Wasiliana na benki yako sasa kujiunga na watu smati. TBA pamoja na wewe! .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 14
Usikae foleni tena; scan, lipa, sepa katika maduka mbalimbali na ubaki salama nyakati zote. Jiunge sasa na watu smati na ufurahie huduma salama, haraka na rahisi. Kwa taarifa zaidi wasiliana na benki yako. TBA pamoja na wewe! .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 13
Furahia urahisi wa kufanya malipo ya serikali kupitia benki bila kupanga foleni. Tukiendelea kufurahia kuwa sehemu ya ukuaji wa Tanzania, tumejiunga na mashirika mengi zaidi kurahisisha malipo ya serikali kidigitali. Tusonge mbele. . . .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 12
Haya ndio maendeleo katika VICOBA na SACCOS mbalimbali. Mfumo wa GTSACCOS unawawezesha kuendesha kundi la kifedha kidigitali. Piga leo +255222772533 kupata mtu wa kuwaelezea vizuri juu ya mfumo huu, ulio rahisi kutumia. . .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 11
VICOBA na SACCOS, sio lazima kukutana kila mara. ⠀ Fungua akaunti ya GTJumuika, mwendeshe miamala kidigitali kupitia GTSACCOS. Ni mfumo unaoendana na taratibu za kundi. ⠀ Piga leo +255222772533 kupata maelezo vizuri juu ya mfumo huu. ⠀ . .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 11
Presents: Time Lapse _ Art635 is a CSR initiative of the Bank, aimed at providing an enabling platform for African arts by helping African artworks become more visible, appreciated, profitable and commercially viable. 📽️
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 9
VICOBA na SACCOS. Kwa kufungua akaunti ya GTJumuika, wanakundi wanaweza kuendesha miamala yao kwa kupiga *150*97# na kisha kuchagua huduma za kikundi. Kukopa, kuchangia, kurejesha, na mengine mengi yanawezekana kundini. Kwa Maelezo: +255222772533. . .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 8
Mfumo wa GTSACCOS unawawezesha Viongozi kuidhinisha mikopo mtandaoni kikatiba, na kuingiza mikopo popote ilipo rahisi kwa wanachama m.f: simu ama benki. Piga leo +255222772533 kupata mtu wa kuwaelezea vizuri juu ya mfumo huu, ulio rahisi kutumia. . .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 7
Tumeongeza ufanisi katika VICOBA na SACCOS mbalimbali. Mfumo wa GTSACCOS unawawezesha kuendesha miamala ya kikundi bila mikutano. Piga leo +255222772533 kupata mtu wa kuwaelezea vizuri juu ya mfumo huu, ulio rahisi kuanza kutumia. . .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Sep 7
Haya ndio maendeleo katika VICOBA na SACCOS mbalimbali. Mfumo wa GTSACCOS unawawezesha kuendesha kundi la kifedha kidigitali. Piga leo +255222772533 kupata mtu wa kuwaelezea vizuri juu ya mfumo huu, ulio rahisi kuanza. . .
Reply Retweet Like
GTBankTanzania Aug 7
Kama mzalendo wa nchi yetu Tanzania, taja zao moja unaloona linaweza kutuwakilisha vizuri kimataifa. . . .
Reply Retweet Like