Fredy  Njeje Sep 12
Nimeona Muonekano mpya wa Gazeti la Uhuru Najiuliza tu hivi ndivyo litakuwa kila siku? Maana si mchezo kuanzia karatasi mpaka quality yake sio ya Mchezo,pongezi kwenu linauzwa tsh 1000 tuu.. Kakamate copy yako pia