Twitter | Search | |
Samia Suluhu
Ukurasa rasmi wa Twitter wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
401
Tweets
33
Following
30,086
Followers
Tweets
Samia Suluhu 4h
Utoaji wa Elimu ya Ufundi inayojibu matatizo ya jamii katika ulimwengu wa sasa wa Sayansi na Teknolojia ni jambo muhimu sana.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Nov 4
Leo nimeongoza Matembezi ya Hisani kwa ajili ya kusomesha Wauguzi Wakunga.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Oct 24
Leo nimeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa ambapo Umoja huo umetimiza miaka 72.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Oct 24
Kauli mbiu ya Siku ya Umoja wa Mataifa; Maendeleo ya Viwanda na Utunzaji wa Mazingira kwa Maendeleo Endelevu.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Oct 22
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzinbar leo.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Oct 15
Nikizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira mara baada ya kuwasili mkoani humo.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Oct 14
Sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana .
Reply Retweet Like
Samia Suluhu retweeted
Jakaya Kikwete Oct 4
I congratulate you for your well deserved appointment as the new Executive Director of . I have always been proud of you!
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Oct 3
Historia iliyopo hapa lazima itunzwe kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Oct 3
Ufunguzi huu ninaoufanya leo unaendana na malengo tuliyojiwekea ya kuongeza na kukuza vivutio vya utalii.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Oct 3
Leo nimefungua makumbusho ya Olduvai Gorge,hakika ni kivutio muhimu cha Utalii Kitaifa na Kimataifa.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Sep 26
Leo nimekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Sep 21
Leo nimekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa NMB Bi. Ineke Bussemaker ambaye alinitembelea Ofisini ,Ikulu jijini Dar es Salaam.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Sep 5
Wanawake hatuna budi kusaidiana na kuinuana.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Sep 5
Serikali inatambua na kuthamini umuhimu wa uzingatiaji wa masuala ya jinsia katika kuchangia na kuharakisha maendeleo ya nchi.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Sep 1
"Umoja na Ushirikiano lazima uanze katika ngazi ya familia" @ Baraza la Eid El Hajj, Zanzibar.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Aug 12
Nikihimiza wananchi wa Kizimkazi kuwa na Bima ya Afya kwenye sherehe ya Siku ya Wakizimkazi.
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Aug 10
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Jul 19
Leo nimezindua Ripoti ya nchi kuhusu Mpango wa Hiari wa Nchi za Umoja wa afrika kujipima kwa Vigezo vya Utawala (APRM).
Reply Retweet Like
Samia Suluhu Jul 13
Mechi ilikuwa nzuri na yenye kutia hamasa naamini pamoja na kuburudika pia tumejifunza
Reply Retweet Like