RebecaGyumi Sep 11
Inahuzunisha kusoma kifo cha msichana nchini Kenya sababu ya “period shaming”.Kupata hedhi ni suala la kusherehekewa na sio kuonewa aibu au kudhihakiwa. Tuvunje hii “taboo” ya kuweka usiri/uchafu kwenye kupata hedhi. BILA HEDHI HAKUNA MAISHA