Twitter | Search | |
Mkulima Janja
🌹🌹🌹Avid Farmer, Opinionated, Bookworm, progressive farmer. awkward. father. husband. 🌹🌹🌹
1,939
Tweets
346
Following
90
Followers
Tweets
Mkulima Janja 13h
Replying to @JoeBiden
What about the lower class. Dont they have any right to be fought for.
Reply Retweet Like
Mkulima Janja 18h
Replying to @JamiiForums
Ina maana katika zile ajira milioni 8 tulizoahidiwa hiki kiwanda kimoja tu kitachangia 1/3 ya Ajira zote?
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 21
Kwa maelezo yako ina maana hata baada ya rais kusema hatuna tena corona hio afdb bado tu wametupa mkopo haliyakuwa corona tushaiondoa kwa maombolezi? Hio bank basi ni wajinga sana.
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 21
We founded an NGO 100% run by local youth experts. We help and train youth in different areas from young leaders program to income generation through technology and agriculture, also provide funds to youth owned business ventures with high potential depending on donor preference.
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 21
Replying to @MwananchiNews
Baada ya kuona watu wanakufa sio? Waambieni wasimamizi wenu nchi wasiitie katika janga hii kabla uchaguzi haujafika.
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 20
Replying to @cw_pedro
So what?....
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 20
Replying to @JamiiForums
wakati wa Kikwete mishahara ilikuwa inapanda kila siku na bado uchumi ulikuwa unapanda. Kipindi cha Kikwete uchumi wa Mtanzania umepanda kwa kasi kuliko marais wote waliopita. Mfanyakazi yeyote wa umma atakaekuamini kauli hii basi huyo ni mbumbumbu. Kiburi kinapotea sasa naona.
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 20
Hahahhahaa ati garage. Ilo ni jina la Hospitali yetu moja Zanzibar tunaiita Garage.
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 20
Replying to @rollymsouth
Majina yetu hayachezi ngono. Tuheshimiane tafadhali.
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 20
Tanzania na Zanzibar tunataka. 1. maendeleo ya watu na sio vitu. Mumejenga huku tunazidi kufukurika. 2. Hakuna Amani bila kutenda Haki CCM wamejikita katika kumyima haki na kunajisi katiba za nchi zote mbili. 3. Mafanikio wanapata CCM tu na V8 zao. sababu hizi CCM mnatoka 28/10
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 19
Replying to @ZanzibariYetu
Hii picha ya mikono front view tutaipata wapi?
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 19
Replying to @hpolepole
Zile milioni 50 za kijiji zitakuja kukutokeeni puani safari hii.
Reply Retweet Like
Mkulima Janja retweeted
Iman Rashid Oct 17
Watu wa mitandao ya simu mmetusaliti sana. Kwanini mmetoa namba za simu kwa Nani aliwapa ruksa kugawa namba yangu? Baba Magufuli ulipata kura yangu ya 2015 basi mwaka huu HAPANA. NITAMPIGIA KURA YANGU Ps: RT Ujumbe ufikie.
Reply Retweet Like
Mkulima Janja retweeted
Abdul Nondo 🇹🇿 Oct 14
"Mkipigwa na askari na vikosi... Vijana na nyie pigeni... Kama wanataka Visiwa vichafuke... Sisi tuko tayari... Lakini sisi hatutaanza" - Juma Dini, Makamo Mwenyekiti . Kama Mwenyekit wa vijana na kwaniaba ya vijana tunaunga mkono kauli ya makamu wetu
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 14
Replying to @JamiiForums
Usije Zanzibar ukawaambia maneno haya. Mkapa ametuua Zanzibae halafu unasema hajamwaga damu?
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 14
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 14
Pitia hapa ujue tofauti.
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 14
Replying to @hpolepole @MagufuliJP
Kama ni kijana wake tuletee basi picha aliopiga na baba wa Taifa
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 13
Nawe unatakiwa kabla hujaweka hizo picha angalia aina ya mvua ilionyesha mpaka kukatokea mafuriko. Leo kajimvua kidogo tu kimeziba kila kitu, hao wanepata mvua kali za vimbunga ndio itatokea mafuriko. Mvuo ya leo hata siku haitowaletea mafuriko hao wenye miundombinu ya kweli.
Reply Retweet Like
Mkulima Janja Oct 13
Hii ni Rushwa kwenye uchaguzi. Tume muko wapi?
Reply Retweet Like