Twitter | Search | |
Mcinika Wa Lamar
Mswahili Originally
3,052
Tweets
105
Following
627
Followers
Tweets
Mcinika Wa Lamar 14h
3 people followed me today tracked by
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 22
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 22
Hatuna Kiburi Mbele Yake Kwani Mamlaka Yote Ni Yake
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 22
Chonga Ujiona bora Anapomuona Kipofu
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 22
2 people followed me today tracked by
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 21
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 21
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 21
Kweli Maana Unaweza Ukaweka Alarms ikuamshe lakini Usiamke, bali Yote anapanga mwenyezi mungu
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 21
Mtu Mmoja Anayekutia MOYO Wakati Wa Shida, Ni Bora Kuliko Kundi La Watu Linalokushangilia Wakati Wa Mafanikio.
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 21
2 people followed me today tracked by
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 20
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 20
Replying to @husseinabui
😂😂😂😂😂😂😂 Bundi Usiku ndo Anaona Vizuri
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 20
All girls wenye iPhone 7 na handbags za laki 2 wakati ghetto godoro liko chini. Kanunue kitanda!!!
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 20
Tena unaonekana msumbufu kuliko hata mmbu
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 20
2 people followed me today tracked by
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 19
Fact
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar retweeted
Mkulima™ Mar 19
Muda mwingine ili kufanya uhusiano wako na baadhi ya watu wako wa karibu uendelee ni lazima ukubali kubeba matatizo yako pasi na kuomba msaada wao.
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 19
2 people followed me today tracked by
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 18
Replying to @BabuBomba4
Kwanini babu
Reply Retweet Like
Mcinika Wa Lamar Mar 18
Unatafuta Mwanaume Mrefu Awe Na Six Pack, Garden Love, Gari Na Kazi Nzuri Lakini Baba Yako Vigezo Vyote Hivyo Hana Lakini Amekulea Mpaka Umekuwa 👇 Je Unadhani Mama Yako Ni Mpumbavu Kuwa Na Mahusiano Naye??
Reply Retweet Like