Henry Lesika May 13
Replying to @MarekaMalili
Tatizo hakuna janja janja ambayo ni fair lazima itaangukia * Kuuza bidhaa ambayo si halali au imezuiliwa. * Bidhaa ambayo haina viwango na kusababisha madhara ya kiafya au itakayoharibika na kuleta hasara kwa mnunuzi. * Kukwepa kodi au taratibu zingine za usimamizi wa biashara.