Twitter | Search | |
Bukhary Kibonajoro
I am a Tanzanian Software Engineer with B.Sc in Computer Science (University of Dar es Salaam) with strong programming experience, CEO of StraightBook Limited
240
Tweets
967
Following
847
Followers
Tweets
Bukhary Kibonajoro Oct 7
Replying to @zittokabwe
pole sana muheshimiwa, Allah awajaalie nyote mpone haraka inshallah
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 17 Oct 19
Replying to @EspitiaGongora
Yes I know him, sorry I didnt see this early
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 10 Aug 19
Dah, Inna lillah wa inna ilaihi rajiun, poleni sana wenzetu wa Morogoro
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 14 Jun 19
Thank you all my friends by wishing me a happy birthdyay
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 4 Jun 19
Happening now in Kampala
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 16 Mar 19
Hongera sana Simba, mmetufurahisha sana, soka safi kabisa!
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 25 Feb 19
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 22 Feb 19
Download App ya StraightBook uitumie katika biashara yako, sasa biashara yako kiganjani na si kama zamani ambapo kutumia teknolojia kwenye biashara ilikuwa lazima uwe na computer, StraightBook tumekusogezea Teknolojia Kiganjani mwako,
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 1 Jan 19
StraightBook ya miaka 5 Iliyopita, ahsante Facebook kwa kunikumbusha, Kwa sasa mfumo wa StraightBook umeshakuwa bora sana na una mambo mengi sana yanayoweza kusaidia uendeshaji wa biashara yako kwa ufanisi...
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 30 Dec 18
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 16 Dec 18
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 5 Dec 18
Replying to @regmengi
This is definitely true sir
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 23 Nov 18
Ofa Maalum: Sasa unaweza kutumia mfumo wa StraightBook kuanzia sh. 9,900/- tu kwa mwezi, jua faida, mtaji, mauzo, matumizi , mtaji, miamala ya kibenki na ripoti nyingine zaidi ya 300 popote ulipo muda wowote, Jisajili Au tupigie 0765258320 au 0652424350
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 23 Nov 18
Ofa Maalum: Sasa waweza kuanza kutumia StraightBook katika biashara yako kuanzia sh 9,900/- tu kwa mwezi, StraightBook imegawanywa katika vifurushi (pricing plans) 6 ili kuwezesha hata…
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 23 Nov 18
, kwa yeyote mwenye biashara anaetaka kuiendesha biashara yake kisasa bila stress huduma hii ya StraightBook inamuhusu, karibuni sana
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 9 Nov 18
For me I don't think if Mr. Trump has fulfilled this promise, American interests has been higher to the extent that he can't be fair to other nations, probably something that he hasn't done is establishing a new...
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 3 Nov 18
Hivi dunia hii kwa nini hatuhurumiani? Kwa nini maslahi ya kisiasa au kiuchumi ya watu au taifa fulani yanaweza kusababisha madhara kama haya kwa binadamu wenzio kama huyu mtoto? Nina huzuni sana, hivi nyinyi...
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 1 Nov 18
Please, do justice to , mbona mbunge mwingine wa Kigoma kama yeye alietoa takwimu za idadi ya waliofariki zinazokinzana na za polisi hajaitwa kuhojiwa? Tupendane na kuvumiliana , sisi sote ni wamoja
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 1 Nov 18
Please my country let's be fair, Free Zitto Kabwe , mbona mbunge mwenzake Hasna Mwilima pia kasema idadi inayokinzana na idadi iliyotolewa na jeshi letu la polisi lakini hajaitwa kuhojiwa? Tuishi kwa upendo tafadhali
Reply Retweet Like
Bukhary Kibonajoro 21 Sep 18
Poleni sana ndugu zetu mliopoteza wapendwa wenu katika ajali ya MV Nyerere, ajali hii yasikitisha sana kwa kweli, Allah atujaalie sote uvumilivu katika kipindi hiki
Reply Retweet Like