Twitter | Search | |
John Heche
Mp Tarime rural constituency.
17,861
Tweets
555
Following
88,383
Followers
Tweets
John Heche retweeted
Evarist Chahali 4h
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Ansbert Ngurumo 2h
Amenikumbusha zama za Mussolini, Hitler, Amini, na Mobutu! Wasiojua mambo haya wanashangilia.
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Zitto Kabwe Ruyagwa 2h
Serikali inadumaza shughuli za Uvuvi nchini [Mchango wa Ndugu Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto, Mb Kigoma Mjini kuhusu makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi] Mheshimiwa Spika, Baada ya utangulizi huu...
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Vitus Nkuna 4h
Picha ina majibu 1.Kwa nn Fastjet imekufa 2.kwa nn Mashirika Binafisi yanapata shida. 3.Kwa nn Azam TV na ITV wanamkwamo. 4 Kwa nn Vyama vya upinzani Vinapitia Magumu. 5 Kwa nn Vodacom na Tigo wanapandisha Bei ya vifurushi. 6 Kwa nn uchumi unayumba. 7 Kwa nn Biashara zinakufa.
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
CHADEMA Tanzania 6h
"Hii nchi haiendeshwi kama wafugaji wa ng'ombe, nchi inaongiozwa kwa kanuni, taratibu na sheria" BONYEZA ->
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Zitto Kabwe Ruyagwa 4h
Wavuvi kutoka Kigoma ( na Uvinza ) walitutembelea leo Bungeni kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi na kushawishi hoja zao kuzingatiwa Katika Makadirio ya Bajeti inayofuata. Mimi na Mbunge Hasna Mwilima tumewapokea na kufikisha maoni yao Bungeni
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Official Bavicha Taifa 9h
Nilihoji kupitia twitter,Raisi alipofika eneo linaloitwa Uyole Mbeya alishangaa hapana stendi,akawaambia wananchi wanamwangusha, wakati mwingine msichague upinzani,nikahoji kwamba mbona Kongwa na Mtera ni majimbo ya CCM tangu uhuru lakini huwezi fananisha maendeleo yake na Uyole?
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Official Bavicha Taifa 8h
"nilipofanikiwa kutoa kitambaa niligundua nipo porini, kila nikigeuka naona miti, cha kwanza nililia sana na kufanya maombi, nikajihoji, kosa langu ni lipi? kama nakosea si kuna mahakama? kwanini nafanyia hivi kwenye nchi hii ambayo inadaiwa ilipata uhuru?"
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Official Bavicha Taifa 8h
"walinivua viatu wakawa wanavitumia kunipigia masikioni kwa wakati mmoja, sikio moja likaanza kutoa damu, nikapoteza fahamu na sikujua napelekwa wapi"
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Official Bavicha Taifa 8h
"nilikuwa nasogea kwa kutambaa, nikasimama na kutembea hatua mbili nikadondoka, nilipofika barabarani nilikaa zaidi ya lisaa nikiomba msaada,hakuna gari lililosimama, nilikuwa natumia ishara ya mkono kuomba msaada lakini magari yakawa yananipita."@ChademaMdudee
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
mdude chadema 7h
Nimeamka na kusali kisha nika-google na kusoma kisa cha imamu hussein  mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) alipopambana mpaka mwisho akitetea kile anachokiamini,Nikasoma kisa cha wanafunzi wa YESU walivyouwawa kikatili wakitetea iman yao hakika nimepata ari ya kuendelea na mapambano.
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Mabadiliko Tanzania ni Sasa. 13h
"Kuvuruga Kilimo na Biashara ya Korosho ni kuhujumu uchumi, aliyevuruga biashara ya zao la Korosho kwa mtazamo wangu kafanya kosa la kuhujumu uchumi kama wahujumu uchumi wengine" - Jenerali Ulimwengu.
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
tnz 🇹🇿 11h
Kweli ni wepesi kusahau, hasa mnapokuwa DHAIFU kwa kila jambo halafu yeye mnahusisha. Si ajabu ni juhudi zake kwenye pesa za korosho hata kama ni Tsh 3,000 tu, kashifa ya Tsh 1.5 Trillion ni yeye, mikataba ya ni juhudi zake, Enzory Gwanda haonekani bado juhudi zake? 🤔
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Lamuka International (Officiel) 19h
Un extrait du discours du coordonnateur de Lamuka à Lubumbashi devant une marrée humaine.
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Mtanganyika26 21h
2/3 "Katiba ibara ya 63 ibara ndogo ya 2 imetamka kwamba ndo chombo ambacho kwa niaba ya wananchi kinatakiwa tu sio kuishauri Serikali bali kuisimamia serikali, hapa tunaisimamia serikali na kutaka uwajibikaji wa serikali" (Mb)
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Aaron Koikai 11h
Replying to @HecheJohn
Painful
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
BBC News Swahili May 20
Mdude Nyagali mwanasisa wa chama cha Chadema ahusisha kutekwa kwake na masuala ya siasa Tanzania
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
ahaz james sibale 11h
Inamaana bila kelele za social media angekuwa ashapotea kama waliotangulia, this is shame to the authority.
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Katanga Diaspora 23h
Place de la Poste , le cortège de Moise Katumbi
Reply Retweet Like
John Heche retweeted
Martin M. M. 23h
"Mtuhumiwa namba mbili wa tukio langu naweza nikamtaja Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni kutokana na maelezo yake aliyoyatoa Bungeni Dodoma wakati jambo la kutekwa kwangu lilipofikishwa Bungeni." - 20.05.2019, Dar es saalam
Reply Retweet Like