Twitter | Search | |
Femina Hip
Femina Hip is a strategic communication initiative working with Tanzanian youth to promote healthy lifestyles, economic empowerment, and citizen engagement
9,744
Tweets
611
Following
5,391
Followers
Tweets
Femina Hip retweeted
SAWATanzania 12h
In Kigamboni As We Are Doing School Out Reach Partnering With . Today We Visited 4 Schools Kigamboni, Kivukoni, Raha Leo And Ufukoni Primary Schools.
Reply Retweet Like
Femina Hip 12h
Meet four citizen ‘champions’, former Fema clubbers & youth activists who work with youth issues through different youth organizations. Also read about youth rights & responsibilities
Reply Retweet Like
Femina Hip 12h
Reply Retweet Like
Femina Hip 13h
Ni toleo namba 52 Ni vijana wanne mahiri, kila mmoja anatuelimisha na kutuhabarisha kupitia historia yake binafsi. Vijana hawa ni viongozi kwa namna mbalimbali. Wamejitolea kusaidia vijana wenzao na kutimiza wajibu wao kwa Taifa.
Reply Retweet Like
Femina Hip retweeted
SAWATanzania Aug 16
Replying to @FeminaHip
SAWA Kwa Kushirikiana Na Halmashauri Ya Manispaa Ya Kigamboni Na Linatarajia Kutembelea Shule 10 Ndani Ya Wilaya Ya Kigamboni. Shule Hizi Zilichaguliwa Na Afisa Elimu Sekondari Na Afisa Elimu Msingi Kwa Kigezo Cha Kuwa Shule Zenye Changamoto Zaid.
Reply Retweet Like
Femina Hip Aug 19
Replying to @FeminaHip
Kabla ya kutembelea shule hizo, yalitolewa mafunzo ya siku tatu yaliyodhaminiwa na shirika la JSI Kupitia mradi wao wa CHSS kwa kamati ya ulinzi wa mwanamke na mtoto ngazi ya Halmashauri, Kigamboni.   
Reply Retweet Like
Femina Hip Aug 19
Replying to @FeminaHip
Kampeni imeanzia katika Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es salaam. Jumla ya shule zitakazotembelewa ni 10, shule 5 zikiwa za Sekondari na 5 za msingi.      
Reply Retweet Like
Femina Hip Aug 19
Replying to @FeminaHip
SAWA kwa ushirikiano na Timu ya (Boy Power Team) ya watakuwa wakitembelea mashuleni ili kutoa elimu kwa wanafunzi.   
Reply Retweet Like
Femina Hip Aug 19
Replying to @FeminaHip
ni kampeni ya kupiga vita ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto inayoendeshwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Wototo kwa ushirikiano na Taasisi ya Shetta Against Women Abuse ()
Reply Retweet Like
Femina Hip Aug 19
Wawakilishi kutoka taasisi ya na Timu ya wakiwa na Afisa Ustawi wa Jamii wa Kigamboni Bi Grace katika utekelezaji wa kampeni ya inayolenga kutoa elimu juu ya ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto.   
Reply Retweet Like
Femina Hip Aug 19
Baadhi ya Agenda katika uzinduzi wa Fema network ya Mwanza tar 17/8/2019 wilayan kwimba 💥💥
Reply Retweet Like
Femina Hip retweeted
UNICEF Tanzania Aug 18
Over the last few months has engaged w/ young ppl from Mtwara, Znz, Kigoma & Mbeya to give them an understanding of the Convention on the Rights of the Child. These young people have shared their inputs for the creation of a Children & Young People Agenda!
Reply Retweet Like
Femina Hip Aug 17
Our biggest fans this week: Pukey_Hassan, joseph_malekela, HauleDaniel1. Thank you! via
Reply Retweet Like
Femina Hip Aug 16
“Umma haukuruhusu kuwa na 'siku mbaya'. Huwezi kuingia kwenye daladala kimya kimya maana wapo wengi wanaotaka msalimiane mzungumze.” Lakini alilichukulia jambo hilo zaidi kama baraka –kwamba uwepo wake unagusa maisha ya wengi.Kifo chake kimetushtua na kutusikitisha.
Reply Retweet Like
Femina Hip Aug 16
Alitaka kupanda jukwaani na wasanii wakubwa kote duniani. Alishukuru sana kwa kipaji chake na kwamba alikuwa na marafiki ambao walianzisha kikundi pamoja naye. Alicheka juu ya jinsi wakati mwingine ilivyo ngumu kuwa maarufu. ...
Reply Retweet Like
Femina Hip Aug 16
Ni miezi michache iliyopita ambapo tulifanya naye mahojiano kwa ajili ya stori iliyochapishwa kwenye toleo numba 51 la Fema. Mbalamwezi alitueleza matarajio yake na ndoto zake; Alitaka kazi yake ikue ijulikane na kupendwa kimataifa...
Reply Retweet Like
Femina Hip retweeted
Alvaro Rodriguez Aug 15
In line with the theme, , Minister of State - President’s Office, Selemani Jafo, said that for to take-off it needs to invest in ! “NGOs, especially in Tanzania, have helped to unite youth & support young people.”
Reply Retweet Like
Femina Hip retweeted
UNICEF Tanzania Aug 15
Boresha elimu = Wezesha Vijana💙 Leo katika maadhimisho ya tumeweza kukutana na vijana mbali mbali waliotueleza kwanini siku hii ni muhimu kwao, sikiliza maoni yao!
Reply Retweet Like
Femina Hip retweeted
Oscar Kimaro Aug 15
"Kijana ukipewa nafasi fanya mabadiliko, acheni kufanya maigizo,fanyeni kazi kiwasaidia vijana wenzenu na jamii kwa ujumla" - Mh. Seleman Jaffo , Waziri TAMISEMI
Reply Retweet Like
Femina Hip retweeted
Kijana Arafat lesheve Aug 15
Said Nothing for Young people without young people, Lets invest in scientific and technology, innovation and creativity is the key way so solve youth challenge.
Reply Retweet Like